Kiba unapofanya "Yaaaaaa" unaharibu nyimbo na unaboa

Embu mwacheni huyu msanii afanye kazi zake kila kukicha mnamuandama mara wimbo mbaya mara yaaaaa toeni nanyie nyimbo zenu tusikie mnavojua
 
Embu mwacheni huyu msanii afanye kazi zake kila kukicha mnamuandama mara wimbo mbaya mara yaaaaa toeni nanyie nyimbo zenu tusikie mnavojua
Acha akosolewe afanye vizuri zaidi ya hapo,ukiona unakosolewa sana ujue watu wanapenda ufanikiwe.
 
mh what if haya ni maoni yako wengine walipenda? and huyu mutu anapita hapa ungeenda huko inta umpe makavu angekupata fasta
 
Yaani kwa ulivoandika inaonyesha Una chuki binafsi na kiba tena chuki za kitoto[emoji57] [emoji57] [emoji57]
hahaha hii ni kampein ya kuendelea kumdidimiza huyu mjamaa sasa kwanini wasingemwambia kabla hajatoa nyimbo ndo wanajikoki
 
Acha akosolewe afanye vizuri zaidi ya hapo,ukiona unakosolewa sana ujue watu wanapenda ufanikiwe.
Nafikili hana management nzuri inayoweza kumpa ushauri hiki ndo kitu kinachomrudisha nyuma
 
Acheni mihemko nyie mbna yule wa wasaaaafiiiii humsemi? Au chuki tu? Hyo ni utambulisho tu wa artist tena unanogesha wimbo ndo maana collabo zote alizofanya zinafanya vizur hta kupata nominations za tuzo kubwa mfano unconditionally bae wa sauti sol
 
Nina uhakika Sauti Sol hawajalalamikia hicho kitu kamwe na hawajawahi kutoa kasoro baada ya Kiba kufanya Collabo nao.

Zaidi ni kuwa Wakenya wamemsifia sana kwa sauti

Kama kweli Sauti Sol walilalamika hebu thibitisha hapa kwa clips au maneno yao na utupe source.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…