tawa driller
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 296
- 152
Huo ni wivu wa kike na unanipa shaka na jinsia yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha akosolewe afanye vizuri zaidi ya hapo,ukiona unakosolewa sana ujue watu wanapenda ufanikiwe.Embu mwacheni huyu msanii afanye kazi zake kila kukicha mnamuandama mara wimbo mbaya mara yaaaaa toeni nanyie nyimbo zenu tusikie mnavojua
mh what if haya ni maoni yako wengine walipenda? and huyu mutu anapita hapa ungeenda huko inta umpe makavu angekupata fastaSijajua huo ni ukunga au ni jingle yako kwny kila wimbo.... Usipopayuka "yaaaaah" nyimbo inakuwa nzuri... Ona nyimbo yako ya AJE hujapayuka kidogo ina afadhali lkn mpayuko wako kwny Mapela na Chekechua uliharibuu na Sautisol wamesema huo mpayuko uliharibu kwny wimbo wao.
hahaha hii ni kampein ya kuendelea kumdidimiza huyu mjamaa sasa kwanini wasingemwambia kabla hajatoa nyimbo ndo wanajikokiYaani kwa ulivoandika inaonyesha Una chuki binafsi na kiba tena chuki za kitoto[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Nafikili hana management nzuri inayoweza kumpa ushauri hiki ndo kitu kinachomrudisha nyumaAcha akosolewe afanye vizuri zaidi ya hapo,ukiona unakosolewa sana ujue watu wanapenda ufanikiwe.
Acheni mihemko nyie mbna yule wa wasaaaafiiiii humsemi? Au chuki tu? Hyo ni utambulisho tu wa artist tena unanogesha wimbo ndo maana collabo zote alizofanya zinafanya vizur hta kupata nominations za tuzo kubwa mfano unconditionally bae wa sauti solSijajua huo ni ukunga au ni jingle yako kwny kila wimbo.... Usipopayuka "yaaaaah" nyimbo inakuwa nzuri... Ona nyimbo yako ya AJE hujapayuka kidogo ina afadhali lkn mpayuko wako kwny Mapela na Chekechua uliharibuu na Sautisol wamesema huo mpayuko uliharibu kwny wimbo wao.