Kiba unapofanya "Yaaaaaa" unaharibu nyimbo na unaboa

Hahahahaha mtani inamaana hujui kuwa Salome iko namba moja kila kona ya Africa! Acha masihara mtani..
mtani nasubiria wimbo wenu mpya mwezi ujao.. alikiba sio mtu wa mchezo mchezo.. hapendi ujinga..
 
Nitoke wasafi nienda kwa kiba? Yooooooooo.
 
Kila mtu na vionjo vyake yy hajazoea kutoboa pua na kuvaa heren, so mwache afanye kazi ipasavyo na ingekua inaboa bs basata wangeshafunga izo nyimbo zake. Yaaaaaaaaaaaaaah!!
 
Yooooh
Miaka 30 kuishi kwa wazazi ni aibu sana
Mshazoea kila afanyacho msanii kianikwe hao wanaofanya ivyo ni rimbukeni ila kwa mtu kama yy na anajielewa hawezi anika kila kitu na mtabaki mkijua anaishi kwa wazazi mpk kufa kwenu. Yaaaaaaaaah!!
 
ama niende kwa kiba nyooooooooooo
 
Mshazoea kila afanyacho msanii kianikwe hao wanaofanya ivyo ni rimbukeni ila kwa mtu kama yy na anajielewa hawezi anika kila kitu na mtabaki mkijua anaishi kwa wazazi mpk kufa kwenu. Yaaaaaaaaah!!
Haaah sasa maana ya kuwa celeb n nn unadhan kibakuli hapendi kuwa na kwake , kumiliki label yke na band yke
 
Tunataka msanii afanye ktu tofaut na wenzake ili awe recognized.. mfano ukisikia yaaaaah unajua king kiba.. big up kiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…