Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,666
- 12,178
mtani nasubiria wimbo wenu mpya mwezi ujao.. alikiba sio mtu wa mchezo mchezo.. hapendi ujinga..Hahahahaha mtani inamaana hujui kuwa Salome iko namba moja kila kona ya Africa! Acha masihara mtani..