Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mchezaji hapo unampa tu sifa za Bure,huyo hamzidii kibwana shomarii kwa Chochote ni kismart tuu kumuona anampiga bechi kibwana shomariiUwezo wa kufunga wa Kibabage japo kua anacheza nafasi ya ulinzi nimkubwa hata kupita uwezo wa washambuliaji wengi katika ligi yetu
View attachment 2900187
Wewe kweli kilaza nani alifunga goli lililokataliwa kule Ghana?Kibabake huyu asiyejua kupiga cross? Asiyejua kufanya maamuzi sahihi? Asiyejua kupiga V pass? Ana akili ndogo sana ya ushambuliaji huyo na ndiye aliyeikosesha Yanga point 3 kule Ghana dhidi ya Medeama