Kibabage anaweza zaidi kuwa winga ama straika kuzidi ubeki, apewe nafasi, Yanga ya sasa inahitaji kuongeza nguvu kwenye umaliziaji

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Uwezo wa kufunga wa Kibabage japo kua anacheza nafasi ya ulinzi nimkubwa hata kupita uwezo wa washambuliaji wengi katika ligi yetu

 
Huyo tapeli tu.
Cross hawez
Mislocation nying

Mzigo tu huo, ipo siku watu watamgundua na ataachwa. Labda aongeze uwezo
 
Dogo ni mchazaji mzuri, ano uwezo wa kukuza alichonacho na kwakua yupo sehemu sahihi kwrnye career yake basi atakua vyema tu
 
Kibabake huyu asiyejua kupiga cross? Asiyejua kufanya maamuzi sahihi? Asiyejua kupiga V pass? Ana akili ndogo sana ya ushambuliaji huyo na ndiye aliyeikosesha Yanga point 3 kule Ghana dhidi ya Medeama
 
Ni kweli ana kasi, na bado umri unamruhusu. Ila anatakiwa afundishwe kwanza namna ya kupiga krosi zenye macho.
 
Kibabake huyu asiyejua kupiga cross? Asiyejua kufanya maamuzi sahihi? Asiyejua kupiga V pass? Ana akili ndogo sana ya ushambuliaji huyo na ndiye aliyeikosesha Yanga point 3 kule Ghana dhidi ya Medeama
Wewe kweli kilaza nani alifunga goli lililokataliwa kule Ghana?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Kibabage ajifunze kukokota mpira na kupiga kwa mguu wa kulia.
Ni dk 20 kilasiku atumie uo mguu kwenye mazoezi binafsi atafika mbali.
Michael Owen alijifunza kutumia mguu wa kushoto akiwa mtu mzima.
 
Nafasi ya winga ndio inamfaa zaidi.
Beki ni nafasi ngumu sana na inahitaji wachezaji Warefu.
Kijana Yuko Vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…