Kibadeni ateuliwa na TFF kuwa Kocha wa Kilimanjaro Stars Kuelekea Chalenji CECAFA CUP

Kibadeni ateuliwa na TFF kuwa Kocha wa Kilimanjaro Stars Kuelekea Chalenji CECAFA CUP

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,701
Reaction score
1,714
attachment.php


Abdallah 'king' Kibadeni ameteuliwa na TFF kama kocha mpya wa Kilimanjaro Stars kuelekea mashindano ya CECAFA ya Chalenji yatakayoanza Novemba 21 huko Addis Ababa Ethiopia.

Mashindano yataanza kuanzia Novemba 21 mpaka Disemba 6 mwaka huu.

Kibadeni mchezaji wa zamani Mchezaji wa Simba anamiliki leseni ya daraja B ya Shirikisho la Soka Afrika CAF.

Nchi nyingine zitakazoshiriki mashindano hayo ni Burundi, Djibouti, Ethiopia, Eritrea, Kenya, Sudan, South Sudan, Uganda, Zanzibar na Somalia.

Kibadeni atasaidiwa na Kocha Juma Mgunda ambaye pia anamiliki kibali cha daraja la B kutoka CAF, amewahi kufundisha timu ya Coastal Union ya Tanga.
 

Attachments

  • pic-kili-stars.jpg
    pic-kili-stars.jpg
    10.1 KB · Views: 423
TFF, mmechanga karata zenu vyema sana, kumkabidhi huyu Living Legend hii timu.. Kama kawa kama dawa, Kombe lazima lije TZ.
Kila la heri King Abdallah Kibaden Mputa.
 
Back
Top Bottom