Kibadeni in Action: Kili Stars 4-0 Somalia

Naona bado twakosa kosa magoli pale langoni kama vile cazorla
 

kwa mara ya kwanza algeria katufunga,miaka yote imekua droo ispokua katkat ya tisin tuliwapga vizuri tu,na hzo droo zote wao ndo huchomoa
 
...Somalia iko nafasi ya mia mbili sijui na ngapi uko; vitu vingine bora kukaa kimya tu...
 
...Somalia iko nafasi ya mia mbili sijui na ngapi uko; vitu vingine bora kukaa kimya tu...

Hivi Mkuu unatambua kuwa Uganda yuko nafasi ya 68 na kafungwa na Kenya iliyo nafasi ya 125? Tofauti ya rankings hapo ni 57. Je, unafahamu kuwa Tanzania tuko nafasi ya 135 na Somalia iko nafasi ya 203? tofauti ya rankings ni 68. Je huoni kuwa kama Kenya aliye nyuma mbali ya Uganda kampiga goli 2-0, unadhani sisi tunayo kinga ya kutofungwa na timu kama Somalia iliyopo nafasi ya 203?

Reference: The FIFA/Coca-Cola World Ranking - Ranking Table - FIFA.com

Hongera Kili Stars kwa kazi nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…