The idiocy of peopl
Umekaa kwenye internet, hujawahi hata kufika kibaha mjini. Hujui hata siasa za pale zikoje. Halafu unapata audacity ya kuandika bila hiyana "ila kuna kila ukweli kwamba matokeo yamechakachuliwa".
Yaani mkishinda, basi ya ukweli. Mkishindwa mmeibiwa. Where do you guys this entitlement of wining everything? Sasa demokrasia gani hiyo? Mkipewa dola mtaiachia kweli?