Elections 2010 kibaha kwalipuka! wamechakachua

Elections 2010 kibaha kwalipuka! wamechakachua

Jamani hii ni kazi na hivi sasa watu wamesikia kua kila sehemu watu ukizingua tu ni au kuchakachua ni vurugu sasa CCM wana kazi ngumu nafikiri na ujumbe sasa wameupata kuwa watu wamechoka na upuuzi wao ambao wameuzoe.
 
The idiocy of peopl
Umekaa kwenye internet, hujawahi hata kufika kibaha mjini. Hujui hata siasa za pale zikoje. Halafu unapata audacity ya kuandika bila hiyana "ila kuna kila ukweli kwamba matokeo yamechakachuliwa".

Yaani mkishinda, basi ya ukweli. Mkishindwa mmeibiwa. Where do you guys this entitlement of wining everything? Sasa demokrasia gani hiyo? Mkipewa dola mtaiachia kweli?

Huyu Selemani lugha yake inafanana fanana na lugha ya yule bwana GT aliyetoweka hapa janvini; sintashangaa kama huyu ni nduguye!!
 
Back
Top Bottom