Huyu mbunge wa Mtera bwana Livingston Lusinde ana kiherehere sana. Ila analiwa timing. Asidhani Kinana, Mkwere, Nape, Makamba sr &jr pamoja na Membe wamemsahau. Enzi za Jiwe aliwatukana sana kwa kujipendekeza jinsi anavyojipendekeza sasa hivi kumtukana Bashiru.
Ana kiherehere na kujipendekeza sana. Analiwa timing. Na sasa hivi hata ajipendekeze vipi harudi bungeni 2025.
Mdomo ulimponza Hapi na huyu yuko njiani.
Ana kiherehere na kujipendekeza sana. Analiwa timing. Na sasa hivi hata ajipendekeze vipi harudi bungeni 2025.
Mdomo ulimponza Hapi na huyu yuko njiani.