Kibajaji hata akijipendekeza kumtukana Bashiru, Mtera harudi tena 2025

Huyu mbunge wa Mtera bwana Livingston Lusinde ana kiherehere sana. Ila analiwa timing. Asidhani Kinana, Mkwere, Nape, Makamba sr &jr pamoja na Membe wamemsahau. Enzi za Jiwe aliwatukana sana kwa kujipendekeza jinsi anavyojipendekeza sasa hivi kumtukana Bashiru.

Ana kiherehere na kujipendekeza sana. Analiwa timing. Na sasa hivi hata ajipendekeze vipi harudi bungeni 2025.

Mdomo ulimponza Hapi na huyu yuko njiani.
Huyu na Musiba hawana tofauti
 
Mnafiki huwa hana ufuasi wa kudumu. Yeye kwake anaangalia maslahi ya wakati huo.

Anajua mwaka 2025 ubunge yule mpinzani wake wa 2020 ambaye ni mtoto wa kigogo mstaafu wa CCM ndiye atakayeteuliwa hivyo anajaribu kutumia unafiki ili muda ukifika aachiwe kugombea.
 
Kwa kauli hii ya Kibaji ni kwamba Sukumagang wameanza kusalitiana kwani ni mmoja wa hili kundi.
Kwa ujumla kwa ubunge ndo mwisho wake labda chama kimpatie nafasi ya kuongea maneno mabovu kwa kwani chama changu hii nayo inampa mtu kula kwa njia ya uchawa
 
Unajua uwezo wa kufikiria wa wabongo wengi umekuwa mdogo sana.Yaan sijui kuna tatizo gani vichwan kwenu?Yaan mnatuaminisha kuwa Kikwete,et al ni miungu watu.Yaan wao ndio wenye kila kitu.Yaan wanaweza kukuua muda wowote.Yaan wao upanga nani awe mbunge.Mm sidhani kuwa wana uwezo huo.Tukianza kuwapa uwezo huo basi,uwezo wetu wa kufikiria utakuwa umekwisha kabisa.Tutakuwa hatutumii akili kufikiria.Labda ni kwambie,Mwenyezi Mungu ndio muamuzi wa kila Jambo hapa Duniani.Anaweza kuamua chochote mpaka ukashangaaa.Na hao unaowafanya kuwa ni Miungu mitu muda wao ni mchache sana .Kila Jambo la uovu lina mwisho wake.Aidha kwa akili tu ya kawaida ,kibajaji anakubalika sana jimboni kwake.Akiwa chama chochote anashinda.Na kuwa mbunge.
Anakubalika na wajinga siku ujinga ukiisha hawawezi mpa hata kura moja.
 
Huyu mbunge wa Mtera bwana Livingston Lusinde ana kiherehere sana. Ila analiwa timing. Asidhani Kinana, Mkwere, Nape, Makamba sr &jr pamoja na Membe wamemsahau. Enzi za Jiwe aliwatukana sana kwa kujipendekeza jinsi anavyojipendekeza sasa hivi kumtukana Bashiru.

Ana kiherehere na kujipendekeza sana. Analiwa timing. Na sasa hivi hata ajipendekeze vipi harudi bungeni 2025.

Mdomo ulimponza Hapi na huyu yuko njiani.
Mimba apigwe mwingine kichefuchefu wasikie wengine......
 
Huyu mbunge wa Mtera bwana Livingston Lusinde ana kiherehere sana. Ila analiwa timing. Asidhani Kinana, Mkwere, Nape, Makamba sr &jr pamoja na Membe wamemsahau. Enzi za Jiwe aliwatukana sana kwa kujipendekeza jinsi anavyojipendekeza sasa hivi kumtukana Bashiru.

Ana kiherehere na kujipendekeza sana. Analiwa timing. Na sasa hivi hata ajipendekeze vipi harudi bungeni 2025.

Mdomo ulimponza Hapi na huyu yuko njiani.
Kama ame dance na tune Kuna shida gani?

Nani wa kumtoa Kibajaji pale mtera?
 
Back
Top Bottom