Naungana na wewe kusali sala hiyo, hatarudiNa sasa hivi hata ajipendekeze vipi harudi bungeni 2025. Lemutuz atashinda kura za maoni.
ATAPEWA VILE VITI VYA KINA HALIMA MDEE NA WENZAKEHuyu mbunge wa Mtera Livingston Lusinde ana kiherehere sana. Ila analiwa timing. Asidhani Kinana, Mkwere, Nape, Makamba sr &jr pamoja na Membe wanmemsahau. Enzi za Jiwe aliwatukana sana kwa kujipendekeza jinsi anavyojipendekeza sasa hivi kumtukana Bashiru.
Ana kiherehere na kujipendekeza sana. Analiwa timing. Na sasa hivi hata ajipendekeze vipi harudi bungeni 2025. Lemutuz atashinda kura za maoni.
Mdomo ulimponza Hapi na huyu yuko njiani.
Mkuu umebadilisha avatar picha nyingine ya sokwe?kibajaji harudi bungeni hata apige zumali vipi makamu mwenyekiti anampango wa kufuta kabisa wenye vinasaba na jpm
Hivi jina lake la mbele ndiyo "Ashki-majinuni"?Huyu mbunge wa Mtera Livingston Lusinde ana kiherehere sana. Ila analiwa timing. Asidhani Kinana, Mkwere, Nape, Makamba sr &jr pamoja na Membe wanmemsahau. Enzi za Jiwe aliwatukana sana kwa kujipendekeza jinsi anavyojipendekeza sasa hivi kumtukana Bashiru.
Ana kiherehere na kujipendekeza sana. Analiwa timing. Na sasa hivi hata ajipendekeze vipi harudi bungeni 2025.
Mdomo ulimponza Hapi na huyu yuko njiani.
Ukipata wasaa chochea kuni ngozi yao iive.Hatimaye CCM vipande vipande
Nadhani anamuenzi bibi Jane Goodall na Gombe kwa ujumla.Yafaa nini basi bila vivutio vya asili?Mkuu umebadilisha avatar picha nyingine ya sokwe?
Na huu ndiyo uzwazwa wa Watanzania wengi.Huyu mbunge wa Mtera Livingston Lusinde ana kiherehere sana. Ila analiwa timing. Asidhani Kinana, Mkwere, Nape, Makamba sr &jr pamoja na Membe wanmemsahau. Enzi za Jiwe aliwatukana sana kwa kujipendekeza jinsi anavyojipendekeza sasa hivi kumtukana Bashiru.
Ana kiherehere na kujipendekeza sana. Analiwa timing. Na sasa hivi hata ajipendekeze vipi harudi bungeni 2025.
Mdomo ulimponza Hapi na huyu yuko njiani.
Inawazisha sana kwa kweliNa huu ndiyo uzwazwa wa Watanzania wengi.
Mtu kama Kibajaji amewahi kuleta tija gani kwenye siasa za Nchi? Kwa hiyo sababu ya yeye kuwepo Bungeni ni namna anavyoweza kuwa karibu na mtawala?
Tuna ujinga mwingi sana wabongo
Mwenyekiti! Anasemaje?kibajaji harudi bungeni hata apige zumali vipi makamu mwenyekiti anampango wa kufuta kabisa wenye vinasaba na jpm
Kauli za watu wengi humu hautaamini kama ndo wale wanaolia ugumu wa maisha na uzembe wa makusudi wa viongoziInawazisha sana kwa kweli
Yes Msukuma na Kibajaji wako bungeni kama wafanyakazi wasio na taalum wasiochagua kazi...ikija kuzibua vyoo wao, kufagia uwanja wao, kufyeka nyasi wao.Kibajaji yuko bungeni kimkakati. Kuvuruga hoja, kutukana wenye hoja nzito, kuchekesha watu na kuwa mtukanaji mkuu kwa niaba ya kiongozi aliyeko madarakani
Unajua uwezo wa kufikiria wa wabongo wengi umekuwa mdogo sana.Yaan sijui kuna tatizo gani vichwan kwenu?Yaan mnatuaminisha kuwa Kikwete,et al ni miungu watu.Yaan wao ndio wenye kila kitu.Yaan wanaweza kukuua muda wowote.Yaan wao upanga nani awe mbunge.Mm sidhani kuwa wana uwezo huo.Tukianza kuwapa uwezo huo basi,uwezo wetu wa kufikiria utakuwa umekwisha kabisa.Tutakuwa hatutumii akili kufikiria.Labda ni kwambie,Mwenyezi Mungu ndio muamuzi wa kila Jambo hapa Duniani.Anaweza kuamua chochote mpaka ukashangaaa.Na hao unaowafanya kuwa ni Miungu mitu muda wao ni mchache sana .Kila Jambo la uovu lina mwisho wake.Aidha kwa akili tu ya kawaida ,kibajaji anakubalika sana jimboni kwake.Akiwa chama chochote anashinda.Na kuwa mbunge.Huyu mbunge wa Mtera Livingston Lusinde ana kiherehere sana. Ila analiwa timing. Asidhani Kinana, Mkwere, Nape, Makamba sr &jr pamoja na Membe wanmemsahau. Enzi za Jiwe aliwatukana sana kwa kujipendekeza jinsi anavyojipendekeza sasa hivi kumtukana Bashiru.
Ana kiherehere na kujipendekeza sana. Analiwa timing. Na sasa hivi hata ajipendekeze vipi harudi bungeni 2025.
Mdomo ulimponza Hapi na huyu yuko njiani.