Kibajaji hata akijipendekeza kumtukana Bashiru, Mtera harudi tena 2025

Huyu na Musiba hawana tofauti
 
Mnafiki huwa hana ufuasi wa kudumu. Yeye kwake anaangalia maslahi ya wakati huo.

Anajua mwaka 2025 ubunge yule mpinzani wake wa 2020 ambaye ni mtoto wa kigogo mstaafu wa CCM ndiye atakayeteuliwa hivyo anajaribu kutumia unafiki ili muda ukifika aachiwe kugombea.
 
Kwa kauli hii ya Kibaji ni kwamba Sukumagang wameanza kusalitiana kwani ni mmoja wa hili kundi.
Kwa ujumla kwa ubunge ndo mwisho wake labda chama kimpatie nafasi ya kuongea maneno mabovu kwa kwani chama changu hii nayo inampa mtu kula kwa njia ya uchawa
 
Anakubalika na wajinga siku ujinga ukiisha hawawezi mpa hata kura moja.
 
Mimba apigwe mwingine kichefuchefu wasikie wengine......
 
Kama ame dance na tune Kuna shida gani?

Nani wa kumtoa Kibajaji pale mtera?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…