Kibaki amerudi Ikulu


Ukweli wote utatoka tu. Nasikia kuwa Mzee huyu aliwahi kumkabili Nyerere wakati akiwa mwanafunzi wa UDSM miaka ya sitini kuhusu uanzishwaji wa chama kimoja Tanzania.
 
he should have resigned by now.. !

No, he should be in jail now; or better still 'hanged.' Baffoons kama hawa hawastahili kuishi.

Huwezi kuchezea maisha ya watu kwa upuuzi kama huu. Ni kitu gani kilichomzuia kukataa kutangaza yale matokeo! Hata kama ni kumuua angekufa kishujaa.
 
hii hali inazidi kutisha na naogopa ku gues kitakachotokea kesho iwapo Raila ataproceed na plan yake ya kuandamana kama alivyodai, watu watakufa sana jamani. Pia kumbukeni chokoraa kenya ni wengi mno and they have nothing to lose ndo maana naona hali bado itakuwa tata sana. hata hivyo naunga mkono hii njia ya kudai haki coz viongozi wa Africa wamezoea sana kufanya maamuzi ya kijinga wakijua watu watanyamaza tu eti kulinda taifa. Bora watu wachache watolewe kafara kwa kuleta demokrasia ya kweli hata uhuru huko kenya watu si waliupata kwa kuingia msituni? kutoka kisumu nasikia atlast supermarkets zimeanza kufunguliwa na kulindwa na police ili watu wajipatie mahitaji japo ni kwa foleni ya karibu four hours. poleni sana wakenya, huu sio wizi wala ujambazi bali ni ukibaka, its a shame kibaka.
 
African Nobel laureate Desmond Tutu na African Union Chairman John Kufuor watamuweza Kibaki?
 
For sure Desmond Tutu atamkabili kibaki vilivyo lakini John Kufour sina uzoefu nae. let us see what will happen.
 
kuanzia leo mimi jina la kibaki nitaliandika kuanzia na herufi ndogo (small letters) maana simuheshimu tena.
 
For sure Desmond Tutu atamkabili kibaki vilivyo lakini John Kufour sina uzoefu nae. let us see what will happen.

Nafikiri hao wawili watamwambia ukweli ila tu je atakubali? Lazima Kibaki aondolewe hata kama ni kwa manguvu.
 
Kibaki hana jinsi, maana wamemshauri vibaya. Hataweza kutawala Kenya bila ya kutumia nguvu, ni aidha ajiudhuru au ammegee Raila kuwa PM.
 
Na Raila akikubali Uwaziri Mkuu atakuwa ameingia ukichaa! This is all or nothing situation.
 
Nafikiri hao wawili watamwambia ukweli ila tu je atakubali? Lazima Kibaki aondolewe hata kama ni kwa manguvu.

Yes kibaki lazima aondoke. hiyo ni heshima kwa wapiga kura wa kenya. nguvu ya kura ipewe umuhimu wake.
 
Kibaki hana jinsi, maana wamemshauri vibaya. Hataweza kutawala Kenya bila ya kutumia nguvu, ni aidha ajiudhuru au ammegee Raila kuwa PM.

Itakuwa ni wenda wazimu Raila kukubali uPM; na wenzake atawapa nini? Kila kiongozi wa ODM ka-invest heavily katika uchaguzi huo!

Tunajua Mtu anayesubiri kwa hamu kubwa na uchu mwingi kama fisi ni Kalonzo; hawezi kuwa Raila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…