wakuu wa chuo kikuu cha nairobi wameendelea kujikomba kwa kibaki, na hii ndo tabia ya kiafrika, raila alistahili kwa kuwa alikubali kukubali kuachia urais wake kwa mwizi wa kura, kibaka kibaki.
hata hivyo kuna haja ya kuendelea kujiuliza upya kuhusu hizi honoraria causa degree, je ni kweli wanaopewa wana mchango wa kutukuka katika jamii? akina dr mzindakaya? dr ana mkapa? dr getrude lwakatare? na wengine wengi. tukikaa kimya utaskika dr lowasa. dr rostam aziz, dr mramba, dr nazir karamagi, dr of dr nchimbi, dr makamba, dr hiza tambwe, dr mrema, dr mbatia, dr mtikila, dr kyara etc