halafu bado kuna malaki ya rejected votes ambazo nyingi makosa ni ya system na sio wapiga kuraInkoskaz,
If that thing is real,basi tegemea patashika la kufa mtu mbele ya Supreme court.Pia ile % iliyoongezeka kwenye 50% ni kama kura 4080 hivi (kama sijakosea),which can be easly overturned by those facts u displayed,and hence Second round. By the way si unakumbuka Cord ina wanasheria wapiganaji Kina James Orengo,Pia the Former AG, Amos Wako,Mutula Kilonzo,
Hebu tuone.
duu,ama kweli viongoz wa kiafrica wanapenda madaraka,huyu jamaa odinga ni bora akubali matokeo yasije yakajitokeza yale ya 2007,tunapenda kuiona kenya ikiwa na amin.
regan morgan
ushahidi anao,kwa mfano kuna jimbo liliandikisha voters 29,000 lakini katika matokeo Uhuru kapata kura 69,000
Unajua loopholes za KATIBA ndizo zinatumiwa na watawala kufanya uhuni wao. Natamani tufanye Copy n Paste from that new Constitution ya Kenya. Kama unafatilia ile Document yao ni Mighty Master Piece.
To be honest hawawezi kuiba kura chache hivyo,ni lazima waliplant nyingi countrywide.yule jamaa aliyekamatwa na briefcase ya fake votes anaweza kuwapa mwangaNa hawajui ni majimbo mangapi ambayo wizi haujashtukiwa. Walichokifanya ni kuhakikisha Uhuru anashinda round ya kwanza na wamefanikiwa.
Idadi ya rejected votes inatosha kubadilisha matokeoNa hawajui ni majimbo mangapi ambayo wizi haujashtukiwa. Walichokifanya ni kuhakikisha Uhuru anashinda round ya kwanza na wamefanikiwa.
Tunawaombea salama tu, maana mungiki wakifunguliwa itakua balaa.Kuna kila dalili za Raisi Kibaki kuendelea kuwepo madarakani kwa muda mrefu kufuatia hali inayoendelea nchini Kenya.kwa Raila kukataa matokeo na huenda jumatatu akatika katiakaSupreme Court basi huenda mshindi asiapishwe na kufuatiwa na uskilizaji wa rufaa ambonsi chini ya miezi miwili..tusubiri
Kazidiwa kura nyingi sana cha msingi akubali tuu kushindwa yaani odinga anataka kushinda yeye tuu akishinda mwingine kaonewa.
Duh! hiyo nayo kali, kweli Afrika tuliomba uhuru wetu lakini bado tulikuwa hatujajitayarisha kujitawala
Akubali matokeo ili waafrika muendelee kukumbatia uozo na maovu mengi yasiyo idadi wa chaguzi zenu? kama mpiganaji wa kweli anayehitaji kuona nchi yake inakaa sawasawa RAO anataka issues zote za irregularities ambazo yeye na kundi lake wanadai wana ushahidi nazo ziwe adressed,mambo yaende sawa,na kwa taarifa tu ni kwamba hakuna mtu hapa duniani asiyependa madaraka,na hata wanaoshinda kwa hila na michezo mingine michafu ni wapenda madaraka pia,(usiifungie nira akili yako kwa ushabiki tu) na pale tunapokamata ushahidi usio na shaka ni lazima tuyaumbue mambo hayo sioni tatizo la Raila asipoconcede huku akileta conrete evidence za maghumashi yaliyofanyika wakati wa uchaguzi.