Kibaki kuendelea kutawala Kenya

Kibaki kuendelea kutawala Kenya

Inkoskaz,
If that thing is real,basi tegemea patashika la kufa mtu mbele ya Supreme court.Pia ile % iliyoongezeka kwenye 50% ni kama kura 4080 hivi (kama sijakosea),which can be easly overturned by those facts u displayed,and hence Second round. By the way si unakumbuka Cord ina wanasheria wapiganaji Kina James Orengo,Pia the Former AG, Amos Wako,Mutula Kilonzo,
Hebu tuone.
halafu bado kuna malaki ya rejected votes ambazo nyingi makosa ni ya system na sio wapiga kura
 
duu,ama kweli viongoz wa kiafrica wanapenda madaraka,huyu jamaa odinga ni bora akubali matokeo yasije yakajitokeza yale ya 2007,tunapenda kuiona kenya ikiwa na amin.

Akubali matokeo ili waafrika muendelee kukumbatia uozo na maovu mengi yasiyo idadi wa chaguzi zenu? kama mpiganaji wa kweli anayehitaji kuona nchi yake inakaa sawasawa RAO anataka issues zote za irregularities ambazo yeye na kundi lake wanadai wana ushahidi nazo ziwe adressed,mambo yaende sawa,na kwa taarifa tu ni kwamba hakuna mtu hapa duniani asiyependa madaraka,na hata wanaoshinda kwa hila na michezo mingine michafu ni wapenda madaraka pia,(usiifungie nira akili yako kwa ushabiki tu) na pale tunapokamata ushahidi usio na shaka ni lazima tuyaumbue mambo hayo sioni tatizo la Raila asipoconcede huku akileta conrete evidence za maghumashi yaliyofanyika wakati wa uchaguzi.
 
regan morgan
ushahidi anao,kwa mfano kuna jimbo liliandikisha voters 29,000 lakini katika matokeo Uhuru kapata kura 69,000

Na hawajui ni majimbo mangapi ambayo wizi haujashtukiwa. Walichokifanya ni kuhakikisha Uhuru anashinda round ya kwanza na wamefanikiwa.
 
Unajua loopholes za KATIBA ndizo zinatumiwa na watawala kufanya uhuni wao. Natamani tufanye Copy n Paste from that new Constitution ya Kenya. Kama unafatilia ile Document yao ni Mighty Master Piece.

Hivi hawa viongozi wetu wa upinzani wana-push kweli ili katiba mpya ipatikane haraka kabla ya uchaguzi ujao?
 
Na hawajui ni majimbo mangapi ambayo wizi haujashtukiwa. Walichokifanya ni kuhakikisha Uhuru anashinda round ya kwanza na wamefanikiwa.
To be honest hawawezi kuiba kura chache hivyo,ni lazima waliplant nyingi countrywide.yule jamaa aliyekamatwa na briefcase ya fake votes anaweza kuwapa mwanga
 
Na hawajui ni majimbo mangapi ambayo wizi haujashtukiwa. Walichokifanya ni kuhakikisha Uhuru anashinda round ya kwanza na wamefanikiwa.
Idadi ya rejected votes inatosha kubadilisha matokeo
huyu Uhuru naona aliamua kushinda kwa hooks and crooks ili amuepuke mama Bensouda wa ICC
 
hata kama ana evidence kaibiwa kura? Wote wakenya wana haki sawa.
 
Kuna kila dalili za Raisi Kibaki kuendelea kuwepo madarakani kwa muda mrefu kufuatia hali inayoendelea nchini Kenya.kwa Raila kukataa matokeo na huenda jumatatu akatika katiakaSupreme Court basi huenda mshindi asiapishwe na kufuatiwa na uskilizaji wa rufaa ambonsi chini ya miezi miwili..tusubiri
Tunawaombea salama tu, maana mungiki wakifunguliwa itakua balaa.
 
Kazidiwa kura nyingi sana cha msingi akubali tuu kushindwa yaani odinga anataka kushinda yeye tuu akishinda mwingine kaonewa.

Tatizo watu waliompigia kura hawawezi kuridhika kama akikubali kushindwa kiurahisi. Kama kuna uwezekano wa kukata rufaa na kushinda itabidi akate rufaa. Ukumbuke Uhuru amevuka 50% kwa kura 4100 tu, kama itaonekana kuna kura zisizo halali zaidi ya hizo, rufaa inaweza kukubaliwa.
Kuzidiwa kura nyingi sio tatizo, kwenye marudio wanakuwa wagombea wawili tu. Na ukiangalia siasa za kenya na hata ukiangalia kwa makini zile debates especially 2nd debate, utaona kuwa wagombea wote walikuwa against Uhuru kimtindo, hivyo wanaweza wakawashawishi wapiga kura wao wampigie kura Railla. Ndio sababu Uhuru amefanya juhudi ashinde round ya kwanza.
Wakenya na sisi ni tofauti sana, ukisikiliza mahojiano na wawanchi, unaweza ukagundua kuwa Wakikuyu wakiwa madarakani huwa wanawaburuza sana wajaluo.
Mfano mdogo kuna mama mmoja aliulizwa anayachukuliaje matokeo, akajibu amefurahi sana Uhuru kashinda kwa sababu watanunua samaki za wajaluo kwa bei rahisi, wajaluo hawataweza kuuza samaki nje ya nchi. Hii kauli inaonekana ni nyepesi, lakini maana yake ni kwamba wanawabana wajaluo katika masoko ya bidhaa zao.
Kuna wengine wanashangilia wanakimbia mtaani wameshika picha ya Railla wana i-poke-poke huku wanaimba "lijaluo lishindwe, lijaluo lishindwe........" hii inaweza kutoa picha kwamba kuna chuki ya makabila.
 
Akubali matokeo ili waafrika muendelee kukumbatia uozo na maovu mengi yasiyo idadi wa chaguzi zenu? kama mpiganaji wa kweli anayehitaji kuona nchi yake inakaa sawasawa RAO anataka issues zote za irregularities ambazo yeye na kundi lake wanadai wana ushahidi nazo ziwe adressed,mambo yaende sawa,na kwa taarifa tu ni kwamba hakuna mtu hapa duniani asiyependa madaraka,na hata wanaoshinda kwa hila na michezo mingine michafu ni wapenda madaraka pia,(usiifungie nira akili yako kwa ushabiki tu) na pale tunapokamata ushahidi usio na shaka ni lazima tuyaumbue mambo hayo sioni tatizo la Raila asipoconcede huku akileta conrete evidence za maghumashi yaliyofanyika wakati wa uchaguzi.

Mimi nafikiri kama kuna mtu ambaye hiyo mahakama ilipaswa kumhoji ni yeye Bw.Raila Odinga, kwa maana yeye ni Waziri mkuu na mgombea mwenza wake ni makamu wa Raisi hivyo wao ndio wakuu wa Serikali, kwa hiyo walipaswa kuulizwa kwa nini hayo matatizo yatokee?
Bw. Kenyata na Bw. Ruto sio wakuu serikali, hivyo watakuwaje na kesi yakujibu?

Kwa hiyo huo uozo unaoungelea ni nani kausababisha? Kama kuna uozo Serikalini kwetu Tz, mtu wa kwanza kumlaumu au kumuuliza ni nani? Si Bw. Kikwete na Bw. Pinda? Sasa kwa nini huko iwe tofauti? Hapo mimi sielewi?
 
Back
Top Bottom