Kibali cha kufuga kasuku kinapatikanaje?

Kibali cha kufuga kasuku kinapatikanaje?

ibnallys03

Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
7
Reaction score
1
Habari wana jamii. Mimi ninapenda sana kufuga KASUKU nyumbani kwangu kutokana na vimbwanga vyake na pia nina mapenzi sana na ndege wa kufugwa.ila nasikia kuwa lazima niwe na kibali kutoka maliasili.

Sasa ningependa kujua kuwa ni utaratibu gani ninatakiwa kuufata ili kupata kibali kabla sijanunua kasuku,na pia kunautaratibu gani kama nataka kumnunua ndege huyo kutoka nje ya nchi.

Tafadhali nijulisheni
 
Back
Top Bottom