Kibali cha Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto

Kimbache

Member
Joined
Oct 7, 2015
Posts
9
Reaction score
12
Habari ndugu,

kuna huu utaalamu wa Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto unaofanyika hapa Tanzania na DIT udsm-engineering (Sina uhakika kama kuna tasisi nyingine imeongezeka).

Naomba kufahamu kama kazi hii ni ruksa kufanywa na yeyote mwenye weledi huo au kuna Taasisi zenye kibali tu ndio zinazoruhusiwa?
kwa maana nyingine ninahitaji special permission au licence?

Asante
 
leseni imetoewa kwa jamaa hao wawili, wengine wote hamruhusiwi
 
Back
Top Bottom