Mtimkavuorg
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 655
- 527
Njaa sana....Nilikuwa na ujenzi, nikapigiwa simu na fundi kuna jamaa wamefika wanataka kibali cha ujenzi, wasimamishe kazi mpka waone kibali, huku zege lishakologwa, kuongea nao wanataka laki 2, aiseee pambana mpka 70, nikawapa 50, nikawambia 20 watanidai... ...yaani kazi yao kupita mitaani kuangalia wapi kunajengwa wanachukua chambi chambi wanasepa.
Max yasNaomba nipate kujua juu ya kibali cha ujenzi maana nimeendeleza ujenzi pindi nikipata pesa kama inavyojulikana ujenzi aumaliziki Sasa ninani ametoa mamlaka ya kuchora kuta za watu kisa kibali "sitisha ujenzi adi kibali"ivi mama yetu anajua kama nyumba za watu zinachorwa kila uchwao je sheria ya Tanzania inasemaje juu ya kualibiwa kuta na viwanja avijapimwa!!maeneo ya chanika ukipandisha ukuta nikuchorewa tu.
WA madhabahuni atakula madhabahuni HAPO ndipo Mungu kawapa baraka zaooo...Nilikuwa na ujenzi, nikapigiwa simu na fundi kuna jamaa wamefika wanataka kibali cha ujenzi, wasimamishe kazi mpka waone kibali, huku zege lishakologwa, kuongea nao wanataka laki 2, aiseee pambana mpka 70, nikawapa 50, nikawambia 20 watanidai... ...yaani kazi yao kupita mitaani kuangalia wapi kunajengwa wanachukua chambi chambi wanasepa.