Mtimkavuorg
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 655
- 527
Naomba nipate kujua juu ya kibali cha ujenzi maana nimeendeleza ujenzi pindi nikipata pesa kama inavyojulikana ujenzi aumaliziki Sasa ninani ametoa mamlaka ya kuchora kuta za watu kisa kibali "sitisha ujenzi adi kibali"ivi mama yetu anajua kama nyumba za watu zinachorwa kila uchwao je sheria ya Tanzania inasemaje juu ya kualibiwa kuta na viwanja avijapimwa!!maeneo ya chanika ukipandisha ukuta nikuchorewa tu.