Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Deus Kibamba ambaye ni Mchambuzi wa masuala ya Diplomasia na Siasa nchini Tanzania ameshauri tume zitakazoundwa za uchunguzi juu ya matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi mkuu wa 2025 zijikite kwenye uchunguzi wa kisayansi na siyo kisiasa.
Aidha, Kibamba amebainisha kiini cha tatizo kilichopeelekea machafuko hayo ni madai ya muda mrefu ya Katiba Mpya, ameshauri mamlaka kukamilisha mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya ili kuondoa mikanganyiko.