PostGE2025 Kibamba: Serikali ikamilishe mchakato wa katiba mpya mapema kwasababu katiba ya sasa ndio chanzo cha haya machafuko

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
433
Deus Kibamba ambaye ni Mchambuzi wa masuala ya Diplomasia na Siasa nchini Tanzania ameshauri tume zitakazoundwa za uchunguzi juu ya matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi mkuu wa 2025 zijikite kwenye uchunguzi wa kisayansi na siyo kisiasa.

Your browser is not able to display this video.


Aidha, Kibamba amebainisha kiini cha tatizo kilichopeelekea machafuko hayo ni madai ya muda mrefu ya Katiba Mpya, ameshauri mamlaka kukamilisha mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya ili kuondoa mikanganyiko.
 
Kwa hiyo Kibamba anapingana na yule mtawala aliyeanzisha tume yake "huru", na aliyoipa maelekezo ya kuwaangushia wengine jumba lake bovu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…