INAUZWA Kibamba: Shule ya Msingi Inauzwa - Dar

Kasri Homes Tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
501
Reaction score
694
InShot_20240827_170002389.jpg
InShot_20240827_170020030.jpg
InShot_20240827_170036507.jpg
InShot_20240827_170049715.jpg
InShot_20240827_170104625.jpg
InShot_20240827_170117140.jpg
InShot_20240827_170132941.jpg
InShot_20240827_170148435.jpg
• Ipo Kibamba Mwisho
• Ukubwa wa eneo ni ekari 4
• Ina hati miliki
• Imesajiliwa
• Inauzwa TZS bilioni 1.2
.
✓ darasa 1-7
✓ inatoa huduma
✓ ni ya kutwa
✓ ina maabara na jengo la ofisi
✓ ina kiwanja cha michezo
✓ eneo kubwa limebaki linaweza kutumika kwa maendeleo mengine
.
• In Real Estate We Connect
☎💬 +255767157788
• Jiunge nasi Facebook, Instagram, X na Telegram: BongoLocate
 
InShot_20240828_130110777.jpg
IMG-20240226-WA0092.jpg
IMG-20240226-WA0097.jpg
IMG-20240226-WA0098.jpg
InShot_20240828_124517370.jpg
• Direction: Sokoni side
• Rooms: 85
• Shops: 20+
• Plot Area: 395 sqm
• Document: Title deed
• Price: USD 2.5 million
.
✓ vyumba vyote ni self contained
✓ vyumba vinajaa kila siku
✓ bei ya vyumba kwa siku ni TZS 80,000; 100,000 na 150,000
✓ maduka yote yana wapangaji
✓ kodi za maduka kwa mwezi ni TZS 800,000 na mil. 1.5
✓ pia ina mapokezi, ukumbi wa mikutano na mgahawa
.
• In Real Estate We Connect
☎💬 +255767157788
• Jiunge nasi Facebook, Instagram, X na Telegram: BongoLocate
 
✓ vyumba vinajaa kila siku
✓ bei ya vyumba kwa siku ni TZS 80,000; 100,000 na 150,000
✓ maduka yote yana wapangaji
✓ kodi za maduka kwa mwezi ni TZS 800,000 na mil. 1.5
✓ pia ina mapokezi, ukumbi wa mikutano na mgahawa
Kwanini muuzaji hataki tena hizi hela za vyumba vinavyojaa kila siku na kodi za maduka hadi kufikia maamuzi ya kuuza jengo?
 
• Direction: Makumbusho near Derm Plaza
• Plot Area: 370 sqm
• Document: Title deed
• Price: TZS 280 million
• Viewing charge: TZS 30,000
.
✓ kiwanja kina nyumba self contained ya vyumba 3 ambayo unaweza kuvunja au kuboresha
✓ pana uzio
✓ mazingira safi na tulivu
.
• In Real Estate We Connect
☎💬 +255767157788
• Jiunge nasi Facebook, Instagram, X na Telegram: BongoLocate
 

Attachments

  • VID-20240809-WA0043.mp4
    3 MB
Muwe mnatuwekea basi bei ya kuuzia kwa malipo ya fedha zetu bhana. Sasa hiyo dola yenu milioni 2.5 nitajua ni shilingi ngapi za Kitanzania!

Huu utaratibu wenu unaweza kusababisha siku moja mtu kuja na shilingi milioni zake mbili na nusu za madafu, halafu mkaishia tu kumfukuza kama mwizi.
 
Yaani biashara kubwa namna hiyo inatangazwa huku kienyeji kienyeji hivyo inasababisha watu kuwa na shaka,mwenye jengo kama hilo lazima awe na connection na watu wa hadhi yake ambao wangeweza kuongea biashara kimya kimya tu
 
• Direction: Kijitonyama
• Facilities: 3 bedroom + 10 frames
• Plot Area: 589 sqm
• Document: Title deed
• Price: TZS 550 million
• Viewing charge: TZS 30,000
.
✓ nyumba self contained ya vyumba 3 (2 kawaida + 1 master)
✓ nyumba ina mpangaji analipa Sh. milioni 1 kwa mwezi
✓ kuna maduka 10@Sh350k kwa mwezi
.
• In Real Estate We Connect
☎💬 +255767157788
• Jiunge nasi Facebook, Instagram, X na Telegram: BongoLocate
 

Attachments

  • VID-20240809-WA0133.mp4
    5.5 MB
• Direction: Makanya
• Facilities: 26 rooms, restaurant, conference room and parking
• Plot Area: 750 sqm
• Document: Title deed
• Price: USD 600,000 (payment in TSH accepted)
• Viewing charge: TSH 50,000
.
✓ hoteli inapiga kazi kama kawaida
✓ vyumba vyote vinajitosheleza
✓ chumba cha mikutano kiko ghorofa ya mwisho juu
✓ maegesho ni zaidi ya gari 30
✓ jenereta na tenki za maji ya akiba vipo
.
• In Real Estate We Connect
☎💬 +255767157788
• Jiunge nasi Facebook, Instagram, X na Telegram: BongoLocate
InShot_20240903_111509200.jpg
InShot_20240903_111711859.jpg
InShot_20240903_111737309.jpg
InShot_20240903_111818429.jpg
InShot_20240903_111835718.jpg
InShot_20240903_111904069.jpg
InShot_20240903_111921536.jpg
InShot_20240903_111954913.jpg
InShot_20240903_112008447.jpg
InShot_20240903_112008447.jpg
InShot_20240903_112029143.jpg
InShot_20240903_112052388.jpg
InShot_20240903_112110766.jpg
 
Back
Top Bottom