Kasri Homes Tz
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 501
- 694
Kwanini muuzaji hataki tena hizi hela za vyumba vinavyojaa kila siku na kodi za maduka hadi kufikia maamuzi ya kuuza jengo?✓ vyumba vinajaa kila siku
✓ bei ya vyumba kwa siku ni TZS 80,000; 100,000 na 150,000
✓ maduka yote yana wapangaji
✓ kodi za maduka kwa mwezi ni TZS 800,000 na mil. 1.5
✓ pia ina mapokezi, ukumbi wa mikutano na mgahawa
Nipo nyuma yako nasubiri jibu au tusiKwanini muuzaji hataki tena hizi hela za vyumba vinavyojaa kila siku na kodi za maduka hadi kufikia maamuzi ya kuuza jengo?
Umri ukisha enda wahindi hupenda kwenda kumalizia maisha kunako asili yao (India)Kwanini muuzaji hataki tena hizi hela za vyumba vinavyojaa kila siku na kodi za maduka hadi kufikia maamuzi ya kuuza jengo?
Kila la kheri katika uuzaji wa hio hoteli