Nimetoka zangu job mida ya jioni jioni, nimechoka kimtindo! Nimepaki ka baiskeli kangu sehemu kununua chochote kwa ajili ya usiku (mlo) Gafla kuna mtu anaiita kwa nyuma, ni mdada ninayemfahamu kwa kiasi flani,
Tunasalimiana na kuulizana habari za kutwa, Enhee leo naenda kwako naamini pale unaishi peke yako kwasababu sijawahi kumwona mwanamke yoyote pale tokea nikufahamu, hivi huna hata girlfriend?
Leo ngoja nikakupikie nikacheka kidogo, nikamuuliza utaweza kunipikia wewe? Yaah! I can we niambie tu unapenda nini! Acha hizo wewe, kama ningekuwa nahitaji kupikiwa si ungeona tu?Hee we kwani unashida gani? binti akaniuliza.
Nikamwambia kwa sauti ya chini, shida yangu mi nina kibamia!! that's why sipendi kabisa mahusiano na mwanamke yeyote yule around mh binti kaguna kumbe ndiyo hivyo?
Na unaujasiri kweli hadi unasema!ila siyo issue sana coz sikuwa pia na wazo hilo. Pole sana, wanaume wengine tuwaone tu hivi na urefu wote huo bado unatatizo! Dada akaaga, na mimi nikanyanyua zangu.
Kibamia noma kweli!Dawa yake ni nini?