Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,375
Ipo tena katika ubora ule ule teh
Imenikumbusha mbali sana. Sijui vijiko vingapi unachanganya kwenye uji sijui asali? Kamba hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo tena katika ubora ule ule teh
naulizia dawa ya kumaliza kibamia...
Haikukuletea result?😛eep:Imenikumbusha mbali sana. Sijui vijiko vingapi unachanganya kwenye uji sijui asali? Kamba hizi
Nilikuwa Naitumia kwa mambo mengine tu ila haikusaidia. Nilikuwa na tatizo la vichomi Nikaambiwa inasaidia, Nikatumia sana lakini Ikabounce nikaja kupona kwa dawa nyingine.Haikukuletea result?😛eep:
Ipo tena katika ubora ule ule teh
[emoji23] [emoji23] [emoji23]We Kiwatengu umesema?!
Evelyn salt Naomba Nikugegede ata mara moja Please!Dawa yake kitunguu saumu, asali mixer ngoka eleven....but hebu tukione kwanza
Hahahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121]Nimetoka zangu job mida ya jioni jioni, nimechoka kimtindo! Nimepaki ka baiskeli kangu sehemu kununua chochote kwa ajili ya usiku (mlo) Gafla kuna mtu anaiita kwa nyuma, ni mdada ninayemfahamu kwa kiasi flani,
Tunasalimiana na kuulizana habari za kutwa, Enhee leo naenda kwako naamini pale unaishi peke yako kwasababu sijawahi kumwona mwanamke yoyote pale tokea nikufahamu, hivi huna hata girlfriend?
Leo ngoja nikakupikie nikacheka kidogo, nikamuuliza utaweza kunipikia wewe? Yaah! I can we niambie tu unapenda nini! Acha hizo wewe, kama ningekuwa nahitaji kupikiwa si ungeona tu?Hee we kwani unashida gani? binti akaniuliza.
Nikamwambia kwa sauti ya chini, shida yangu mi nina kibamia!! that's why sipendi kabisa mahusiano na mwanamke yeyote yule around mh binti kaguna kumbe ndiyo hivyo?
Na unaujasiri kweli hadi unasema!ila siyo issue sana coz sikuwa pia na wazo hilo. Pole sana, wanaume wengine tuwaone tu hivi na urefu wote huo bado unatatizo! Dada akaaga, na mimi nikanyanyua zangu.
Kibamia noma kweli!Dawa yake ni nini?
kibamia mchezo[emoji3]Mkuu naona umeamua kuangua kicheko