Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpendwa kwani umewahi kuomba kuona nikakunyima?
Hebu nitumie sasa, ili nitengue kauli mpendwa na nikutake radhi kwa kukusingizia
Mi nataka kukileta kabisa..Nipe GPS
Hiki hapaDawa yake kitunguu saumu, asali mixer ngoka eleven....but hebu tukione kwanza
Ongenitumia kwanza nisije nikakikataa live kama cha kiwatengu kilivokataliwa
Dawa yake kitunguu saumu, asali mixer ngoka eleven....but hebu tukione kwanza
Ipo tena katika ubora ule ule tehHivi ngoka bado ipo? Wapare walipiga sana watu kwa hiyo dawa.
nami ndiyo naitafuta si umesikia ni dawa!!