Kibamia kinanikosesha amani

asyee
 
Tafuta hela ukiwa na hela hicho kibamia chako kwa mademu kitaonekana bonge la muhongo
hata kama hela ipo bado ntafeel inferior. nataka permanent solution ili hata hela zkiniacha niendelee kula utamu wa hamu na mashamushamu kama pweza wa bahari ya shamu
 
Yaezekana ndo ulivo zaliwa nacho hicho kibamia, hivyo kula vyakula vyenye nguvu, punguza pombe kama wewe ni mtumiaji,then ongeza juhudi za mbwe mbwe ukiwa kitandani.(ujuzi) Na uache puli itakula kwako usipokua makini..
uzuri wa kibamia kinapovimba linakuwa bonge la muwa. tatizo likilegea linakosa mvuto kabisa hadi wakati mwingine natamani nilitupilie mbali kabisa
 
sawa mkuu kwani dawa z Asili nazo tishio kwa kizazi changu dhaifu?
 
Mhmhmj! We Mama kiboko kabisa. Unajua kufunza sana. Unafaa uwe Kungwi. Siyo kwa maneno hayo,nakupa LIKE ya nguvu kabisa. Hakika umenikosha
 
ngoja nianze kujifunza mapishi mbalimbali kwa huu mchele mmoja. naamini round ijayo nitaikuna nazi hadi yenyewe iseme basi mkuu unajua shughuli.
 
kitu cha pweza na juice ya miwa nayo imekaaje

nawaangaliaga sana vijana tu wanapiga hivyo ila pweza hulepekea bao kunuka sana kwa mujibu wa watumiaji am not sure lakini kuhusu juice ya miwa mihogo mibichi mi sina uhakika sana
 
sawa mkuu kwani dawa z Asili nazo tishio kwa kizazi changu dhaifu?
Binafsi siwez kuliongelea kitaalamu ila nnavojua kuna wajanja wajanja cku iz wanachanganya na viagra,
Nishtokewa na hio hali ila binafsi nilipata ushaur tu nikaambiw nijitahod kujijenga kisaikolojia nikawa sawa.. So nenda kawaone MADAKTARI ,
 
Pole sana kwani sasa dr. Mwaka kawa mr. Mwaka mkurugenzi wa foreplan.
 
Nina uhakika kabisa kuwa tatizo lako lipo kwenye fikra zako juu ya hilo tendo.......kuna uwezekano kuwa unaweka matarajio makubwa sana kwenye fikra zako juu ya hilo tendo ambapo ni kinyume na uhalisia.......

Tiba pekee na ya uhakika ni kubadili mtazamo wako juu ya hilo tendo.....alafu ondoa papara kwenye hilo tendo.....ukifika falagha na mwenza wako usimparamie.....mnaweza mkawa mnazungumzia habari zingine kabisa.....huku mkijiweka karibu katika ulimwengu wa mahaba na huba......
Mambo yako ya msongo wa mawazo unapaswa kuviacha nje kabisa ya mlango wenu.......
 
Mhmhmj! We Mama kiboko kabisa. Unajua kufunza sana. Unafaa uwe Kungwi. Siyo kwa maneno hayo,nakupa LIKE ya nguvu kabisa. Hakika umenikosha

Hhahahahahahaa thanks kijana, japo mie sio kungwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…