herzygovina mwangosi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 900
- 431
asyeeKuna recipe na mapishi ya bamia mbali mbali na hunoga sana kwa mlaji. Hadi juice ya bamia ipo........
Hapo unahitaji ujuzi tuu, siku hizi kila kitu ni mali ghafi hakuna taka, ulichonacho unaji - upgrade unajisosomola na wewe sio kuona ndo mwisho wa dunia.
Kuna somo na darasa la kutumia na kuandaa mapishi ya bamia ili mlaji asitamani mihogo matango wala ndizi bukoba.
Uamuzi ni wako....... kujifunza kupika au kwenda kukombelezea mboga kwa jirani uzidi kusimangwa.
Kasie.