Swali zuri sana kijana.
Naomba nijibu heading ya uzi wako kama ifuatavyo:-
Kikiwa kimoja ni kibamia, na vikiwa vingi ni vibamia. Hivyo basi kwakua kimaumbile ni vidogo kwa kiasi ndio maana binadamu alibadilisha kutoka jina la bamia na kuiita vibamia/kibamia. Na haya yote yametokana na binadamu kubadili mambo mengi kutoka kwenye uhalisi wake ili tu kuitimiza furaha ya nafsi yake.
Kwakifupi bamia/kibamia/vibamia huanzia kuota toka shambani, chini ardhini. Hivyo kwa kipimo cha kawaida,
binadamu aliamua kufananisha aina hii ya mboga na mawazo yake potofu ili kumfurahisha shetani.
By the way.....
Hii ni mboga moja mzuri na tamu hasa umifanikiwa kukuta imepikwa kwa umaridadi na mjuvi wa jikoni na vyangu kama R.i.P bibi wangu....[emoji22][emoji22][emoji22]
View attachment 1079411