Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hii nchi ina vituko sana aisee!
Yaani kila nikikaa na kukifikiria hiki kibanda cha kupigia nyungu hapo Muhimbili naishia kucheka.
Hivi lilikuwa ni wazi la nani hasa kujenga hicho kibanda?
Na ni kweli watu walikuwa wanaenda hapo kupiga nyungu?
Kuna yeyote humu JF aliyeenda kupiga nyungu hapo Muhimbili?
Shit is funny AF!