Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 Kibebwe hiki kihamishiwe makumbusho.Kipo mkuu!
Nikiona iki kibanda wakati mwanzo madocta walivyokisifia na sasa hali ilivyo nashindwa kuwadisikasi,
Maisha yanakimbia resi sana, kitakua kimewekwa kwenye jumba la makumbusho kwa ajili ya kutunza historia ya tanganyikaHii nchi ina vituko sana aisee!
Yaani kila nikikaa na kukifikiria hiki kibanda cha kupigia nyungu hapo Muhimbili naishia kucheka.
Hivi lilikuwa ni wazi la nani hasa kujenga hicho kibanda?
View attachment 1866742
Na ni kweli watu walikuwa wanaenda hapo kupiga nyungu?
Kuna yeyote humu JF aliyeenda kupiga nyungu hapo Muhimbili?
Shit is funny AF!
Wakikiangalia wanaona aibuHii nchi ina vituko sana aisee!
Yaani kila nikikaa na kukifikiria hiki kibanda cha kupigia nyungu hapo Muhimbili naishia kucheka.
Hivi lilikuwa ni wazi la nani hasa kujenga hicho kibanda?
View attachment 1866742
Na ni kweli watu walikuwa wanaenda hapo kupiga nyungu?
Kuna yeyote humu JF aliyeenda kupiga nyungu hapo Muhimbili?
Shit is funny AF!
Werevu mfano marekani wamekufa watu laki 6.Taifa la viongozi wajinga na wapumbavu
Mahoka? Rebeca utakuwa wa Songea wewe😂😂😂Na yale maigizo ya waziri wa afya na mumewe kupiga nyungu..kwa kweli hii nchi ina mahoka
Safi sana Muhimbili kwa kuweka all options on the table. Kwa taarifa yako mkuu Nyani mpaka sasa sisi huku vijijini tunapiga nyungu kwa kwenda mbele. Tukisubiri hizo chanjo zenu, by the time zinatufikia huku vijijini tutakuwa tumeshakufa wote.