Kibanda cha kupigia nyungu Muhimbili bado kipo?

labda kweli kilifanya kazi kwa kuwapa false hopes watu kuwa kibanda kinatibu,hivyo hofu ya kufa na corona ikawa haipo,na hofu inasababisha magonjwa ...so kukiwa hamna hofu watu wanakua na afya na amani...
Options zote zilituvusha kwenye wimbi la kwanza na la pili, kabla hata hizo chanjo zenu hawajazigundua. Kwa hiyo hatuwezi kuidharau nyungu.
 
Kwa kweli hii nchi ina vituko kinoma noma. Zile mbwembwe za kukifukiza zipo wapi
 
Watu wengi katika nchi mbali mbali walijiaminisha kwamba hakuna ugonjwa kwamba ni HOAX. Hivyo hawakuchukua tahadhari zozote. Walipoipata wakaanza kujilaumu huku wakiwa mahututi hospitalini wengi walikufa na baadhi walipona baada ya kulazwa kwa miezi mingi.
labda kweli kilifanya kazi kwa kuwapa false hopes watu kuwa kibanda kinatibu,hivyo hofu ya kufa na corona ikawa haipo,na hofu inasababisha magonjwa ...so kukiwa hamna hofu watu wanakua na afya na amani...
 
Ni kweli mkuu,halafu kwa nchi isiyo document vifo na idadi ya wagonjwa ni ngumu kujua kama nyunguzzz zilikua na impact yoyote
 
Reactions: BAK
Nilisoma mahali nadhani humu kwamba impact yake ilikuwa ni negative na wakati mwingine kusababisha mapafu kujaa maji.
Ni kweli mkuu,halafu kwa nchi isiyo document vifo na idadi ya wagonjwa ni ngumu kujua kama nyunguzzz zilikua na impact yoyote
 
Ukimchukua mtu mwenye changamoto ya upumuaji halafu umfungie kwenye huo mkebe, zoezi la kumtanguliza mbele ya haki linakuwa kama unamsukuma mlevi🐒
 
Ni vizuri tuwe na vitu vyetu vya kipekee.

Rip jpm akili kubwa.tumekumisi washaleta machanjo ya ajabu.
 
Kipo mkuu!

Bongo nyoso [emoji1787]

View attachment 1866747
Kinjekitile ngwale1905-1907majimaji war marudio 2019-2020nyungu -nyungu war
 
Aisee vipi bajeti yake kifungu ganii
 
Nyungu zilituvusha wimbi la kwanza na la pili hatukuweka lockdown.

Lakini kwa kuwa elimu ya mwafrika ni kukopy na kupaste kwenye hili wimbi la tatu tutangaziwa lockdown.
Kwa hiyo nyungu ndio mbadala wa copy na paste
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…