Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Absalom Kibanda, akizungumza katika mdahalo wa “Kalamu za Waandishi Zinaandika Nini?” kupitia Stars TV, amesema kuwa Taifa zima lina hofu. Viongozi wana hofu, wanaharakati wana hofu, wanasiasa wana hofu, viongozi wa dini wana hofu, waandishi wa habari wana hofu. Hofu ni jinamizi la kitaifa
"Taifa zima lina hofu. Viongozi wana hofu, wanaharakati wana hofu, wanasiasa wana hofu, viongozi wa dini wana hofu, waandishi wa habari wana hofu. Hofu ni jinamizi la kitaifa."
"Wana hofu kwa sababu kuna sifahamu, watu hawafahamu kesho yao, watu hawafahamu usalama wao, watu hawafahamu hatima zao..."
Hofu hii inatoka wapi na wanamhofia nani... Kuna kitu kinaitwa watu wasiojulikana... Kuna matukio yanatokea ambayo hatujui chanzo chake na mwisho wake..