Kibango icho kimeandikwa tajiri nani

Kibango icho kimeandikwa tajiri nani

DMmasi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2020
Posts
561
Reaction score
900
Moja kwa moja swaaaaah kwenye mada

Niko uwanja sahihi unashangaa baiskeli kuingia kituo chakujazia mafuta

Au unashangaa kiwanja cha mpira wamiguu nimeingia na kama mchezaji wa gofu basiii ata bien alisema apa ni mbwembwe

Wadau wasiasa huku kwenye kiwanja chenu nako kibango bhana kimetaradadi bila kibango tajiri hajulikani?
Hivi ata familia inahitaji kibango watoto watambue uwepo wa baba?

Baba akinunua chumvi kibango, akinunua sukari kibango, akilipa Ada kibango, akitoa familia mtoko kibango, baba akienda shamba kibango n.k.

Swali ni je familia haioni anayofanya baba mpaka kiwepo kibango au kuna uwezekano kibango kinaongea sana kuliko anayoyafanya baba maana kibango kimeshikiliwa juu sana.

Natoka kwenye mada kama nilivyoingia
 
Wekaa kibangoo tukushomee jina la TAJIRII mkuuu

Kama taifa tuna safari ndefu sanaa
Hivi gharama za kibango cha sherehe ya usiku mmoja hazitoshi kujenga tundu moja pale kaliuwa
 
Kwahyo ww unataka kusema hafanyi jambo lolote ndio maana qapambe wanapiga domo zaidi?
Au unamaana gani

Mimi nimekuuliza ww sijasema wambea waje. Mambo ya mimi.na ww yaishie hapa hapa
 
Back
Top Bottom