Kibao kilivyogeuka

Kudai katiba mpya ni kuzingua? CHADEMA hawana kosa lolote hapo zaidi ya nyinyi wanufaika wa uonevu kutengeneza fursa mpate kujinufaisha kupitia huu unyanyasaji kwa CHADEMA
 
Being a President is tantamount to being a dustbin

It is not easy to maintain a clean file.

Samia should only do what she thinks is right and not what others thinks is right neither trying to impress anyone.
Busara kubwa sana hii kiongozi!

Yaani atetereke kwa maneno ya mitandaoni?? Atakuwa kiongozi wa namna gani sasa....... hayo yapo hata afanye nini na yatapita. Asimamie kwenye malengo yake
 
Duh wewe spana zako huwa hazina direction yaani leo unamnanga mama, ! Your favorite kabisa kabisa toka mwanzo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini humpendi huyu kama ulivyokuwa unamuhusudu mwendazake jiwe?!
 
Kudai katiba mpya ni kuzingua? Chadema hawana kosa lolote hapo zaidi ya nyinyi wanufaika wa uonevu kutengeneza fursa mpate kujinufaisha kupitia huu unyanyasaji kwa chadema
Kumbe hata kuelewa nako ni shida 🤔🤔
 
Tumuunge mkono atuongoze vema. Kuongoza sio lelemama. Kuongoza watu Mil 60 sio kitu rahisi sababu unajaribu kuifurahisha familia fulani na wapambe wake. Watanzania watadai lililo bora.
Ndio maana nafikiria ahakikishe katika kipindi chake, asije kupata kashfa za aina ile wapambe wake waliyotengeneza. Itampa wakati mgumu sana.

Ila wapinzani pia mbona wanamchokoza kwa kulazimisha katiba mpya bila hata kuwa na taratibu?
 
Uko sawa mkuu.
 
Sawa lakini hii ya kuita mtu “gaidi”imepita mipaka.
 
Gaidi Mbowe yupo chini ya ulinzi salama wa Polisi, nchi nzima imetulia hakuna matukio ya ajabu ajabu kama Uamsho walivyowekwa sehemu salama na Zenji ikatulia.
Unajua watekaji au madikteta hawanaga ukomo, siku wakikufikia usije kulalamika humu
 
Being a President is tantamount to being a dustbin

It is not easy to maintain a clean file.

Samia should only do what she thinks is right and not what others thinks is right neither trying to impress anyone.

A political leader is like a diaper. Once (s)he takes oath of office, (s)he won’t remain clean!
 
Hayo ni mawazo yako,na katiba na ubinadamu pia unakupa haki hiyo,lakini ukweli ni tofauti kabisa,na wala usifikirie haya yote hayaoni na hayasikii,lakini kumbuka ana facts zote mkononi mwake.

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mwendazake nilishapigwa BAN kama mara nne au tano kwa kumuita dikteta. Nafurahia kuona JF wameamua kuacha ukweli wa kinachoendelea nchini uchukue mkondo wake. Eti samia kajificha wapi? Kazamia Rwanda!? Au kaenda kujificha dhidi ya COVID-19!?
 
Anataka kufanya REBRANDING kwa kuwa Tanzania tuna Rais wa kwanza wa jinsia ya kike ambaye ni Dikteta ná dikteta wa kwanza mwanamke Africa.
Wawekezaji wanataka kuja kwa kuwa kuna Rais Mwanamke.
 
Blogs uchwara za watu wa nje ni za kupuuzwa.

Kwani akiwa dictator wao inawauma nini?
 
Inaonekana unaakili kidogo hasa kwenye nyekundu. Baada ya hapo dishi limeyumba, nenda hospitali.

Kusema madhaifu ya CDM, siyo kwamba sioni madhaifu ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…