Kibao kilivyogeuka

Anyone can post anything these days

Hata Ellen Sirleaf alishaitwa names

Ni strategy ya mabeberu kumfanya aogope na alainike
 
Sasahivi hata familia yake inamchukia vibaya sana
 
Hawa wahuni wanamchelewesha mama bila sababu za msingi. Katiba mpya inahitaji bajeti na bajeti ya nchi tayari imeshapangwa na kupitishwa, kwa hiyo anayetaka Katiba mpya muda huu ni utovu wa nidhamu, anayetaka kukusanyika muda huu ni mshamba kwani alikuwa wapi wakati wa magufuli.Acha mama apandishe watu madaraja baadaye katiba mpya itafuata .
 
Madaraka ya kulevya!
 
Hebu mwacheni mama achape kazi. Hivi kuambiwa utanyolewa we unaona ni jambo dogo
 
Kwa hiyo kama mtu kafanya ugaidi aonewe huruma kisa tu ni kiongozi wa upinzani? Kuwa serious
Na wewe uwe serious kidogo . Ushaidi wa kimazingira aliyokamatiwa unakataa kabisa kwamba yeye ni gaidi. Akitendewa haki na kupelekwa mahakamani polisi watashindwa kabisa kudhibitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…