CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Dah kweli kiswahili kigumu aisee, umeniacha njia panda aloo.Rais mwenye jinsia ya kike ageuka kuwa dikiteta mwenye jinsia ya kike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kweli kiswahili kigumu aisee, umeniacha njia panda aloo.Rais mwenye jinsia ya kike ageuka kuwa dikiteta mwenye jinsia ya kike.
CCM ni wakora.Inaonekana unaakili kidogo hasa kwenye nyekundu. Baada ya hapo dishi limeyumba, nenda hospitali.
Kusema madhaifu ya CDM, siyo kwamba sioni madhaifu ya CCM
Anyone can post anything these daysView attachment 1867792
Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.
Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.
Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.
Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].
Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!
Hizo ndo standards za baadhi ya Watanzania 🤣.
No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.
Sasahivi hata familia yake inamchukia vibaya sanaView attachment 1867792

Familia ipi? Kwani Rais ndio katoa amri ya kukamatwa kwa Mbowe?Sasahivi hata familia yake inamchukia vibaya sn
SijamtajaFamilia ipi? Kwani Rais ndio katoa amri ya kukamatwa kwa Mbowe?
Hawa wahuni wanamchelewesha mama bila sababu za msingi. Katiba mpya inahitaji bajeti na bajeti ya nchi tayari imeshapangwa na kupitishwa, kwa hiyo anayetaka Katiba mpya muda huu ni utovu wa nidhamu, anayetaka kukusanyika muda huu ni mshamba kwani alikuwa wapi wakati wa magufuli.Acha mama apandishe watu madaraja baadaye katiba mpya itafuata .View attachment 1867792
Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.
Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.
Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.
Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].
Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!
Hizo ndo standards za baadhi ya Watanzania 🤣.
No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.
Theoretically ndiyo maana vyama vya upinzani vikaanzishwa. Ila vipi solo na so havina tofauti na ccm hasa cha mpuuzi Tundu LissuCCM ni wakora.
Kwa hiyo sasa hivi kinafanya practically.Theoretically ndiyo maana vyama vya upinzani vikaanzishwa. Ila vipi solo na so havina tofauti na ccm hasa cha mpuuzi Tundu Lissu
Madaraka ya kulevya!View attachment 1867792
Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.
Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.
Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.
Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].
Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!
Hizo ndo standards za baadhi ya Watanzania 🤣.
No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.
Inatakiwa kianzishwe chama kipya na sura mpya ili zisaidie kutuvusha au apatikane JPM mwingine aokoe jahaziKwa hiyo sasa hivi kinafanya practically.
Hebu mwacheni mama achape kazi. Hivi kuambiwa utanyolewa we unaona ni jambo dogoView attachment 1867792
Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.
Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.
Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.
Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].
Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!
Hizo ndo standards za baadhi ya Watanzania 🤣.
No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.
Jpm alikuwa sioInatakiwa kianzishwe chama kipya na sura mpya ili zisaidie kutuvusha au apatikane JPM mwingine aokoe jahazi
Hayo mawazo yako na pengine madhira yako ambayo hayawezi kuondoa ukweliJpm alikuwa sio
Uzuri Wa jpm ilikuwa nini?.Hayo mawazo yako na pengine madhira yako ambayo hayawezi kuondoa ukweli
Na wewe uwe serious kidogo . Ushaidi wa kimazingira aliyokamatiwa unakataa kabisa kwamba yeye ni gaidi. Akitendewa haki na kupelekwa mahakamani polisi watashindwa kabisa kudhibitisha.Kwa hiyo kama mtu kafanya ugaidi aonewe huruma kisa tu ni kiongozi wa upinzani? Kuwa serious
I second you...!