Kibao kilivyogeuka

Kibao kilivyogeuka

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
6F17B1D6-5541-4BC3-B349-FA7EEACA4362.jpeg

Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.

Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.

Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.

Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].

Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!

Hizo ndo standards za baadhi ya Watanzania 🤣.

No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.
 
Being a President is tantamount to being a dustbin

It is not easy to maintain a clean file.

Samia should only do what she thinks is right and not what others thinks is right neither trying to impress anyone.
 
Standard za Tanzania kwenye mambo mengi ni tofauti kabisa ni nchi nyingine zote dunia. Nadhani kuna mahali tulikosea kwenye elimu watu wakawa wanamaliza shule bila kuelimika.

Japokuwa Internet nayo imesaidia ku-expose uwezo wetu kiakili lakini nina uhakika kabisa watu waliosoma enzi za kina Sinde Warioba wako tofauti kabisa.

Tukio au maoni ya kawaida kabisa yanaweza kuonekana kama uvumbuzi mpya tena wenye thamani kubwa. Na viongozi wetu ni reflection yetu wenyewe.
 
Mimi nahisi amefungiwa nje ya ofisi ya Urais...

Baadhi ya haya maamuzi na matokeo yake tunayoyaona sasa, mtu hawezi kuamini kuwa yanatoka au yana baraka za mwanamke huyu ambaye miezi mitatu iliyopita alionekana kama vile ni mkombozi wa taifa hili...

Kuna mtu anasema nchi iko kwenye auto pilot. Labda sasa ni wakati wa kuamini haya. Kuna watu wanatumia mamlaka na madaraka yake vibaya bila yeye kujua...

Nasikia kwa sasa sijui yuko ziarani Rwanda ama sijui Angola anakula bata wakati huku nchini kwake kukiwa kunafukuta moshi wa moto...

Shauri lake, akizubaa kidogo tu, hawa walioteka mamlaka yake ya maamuzi ya Kiraisi, watampindua puuh...!!!!!
 
Vyovyote atakavyoitwa yeye hana cha kupoteza, kikubwa asimamie sheria, katiba na kuwadhibiti wote waliopanga au wanaopanga kuharibu amani ya nchi kwa kisingizio cha siasa uchovu. Kifo cha Chacha wangwe na machozi ya familia yake visingeweza kupita hivi hivi miaka na miaka. Bila shaka Mungu kaamua kutoa hukumu hapa hapa duniani.
 
Mimi nahisi amefungiwa nje ya ofisi ya Urais...

Baadhi ya haya maamuzi na matokeo yake tunayoyaona sasa, mtu hawezi kuamini kuwa yanatoka au yana baraka za mwanamke huyu ambaye miezi mitatu iliyopita alionekana kama vile ni mkombozi wa taifa hili...

Kuna mtu anasema nchi iko kwenye auto pilot. Labda sasa ni wakati wa kuamini haya. Kuna watu wanatumia mamlaka na madaraka yake vibaya bila yeye kujua...

Nasikia kwa sasa sijui yuko ziarani Rwanda ama sijui Angola anakula bata wakati huku nchini kwake kukiwa kunafukuta moshi wa moto...

Shauri lake, akizubaa kidogo tu, hawa walioteka mamlaka yake ya maamuzi ya Kiraisi, watampindua puuh...!!!!!
Kuna watu wanajitahidi sana kumtetea!

Mara wadai anashauriwa vibaya.

Mara waseme anahujumiwa na Sukuma Gang.

Yeye ndo Rais. The buck stops with her.

Excuses are the tools of the weak and incompetent. They build bridges to nowhere and tunnels to nothingness... Those who excel in them seldom do in anything else, therefore, there are no excuses.
 
View attachment 1867792

Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.

Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.

Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.

Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].

Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!

Hizo ndo standard za baadhi ya Watanzania 🤣.

No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.
Wana mitusi hao waliokuwa wanamshangilia. Shida walidhani na waliamini wanapambana na mtu, JPM, wakati tatizo ni mfumo. Baada ya kutoka honeymoon sasa wameanza tena mitusi yao hawakumbuki kuwa Bi. Mkubwa alisema yeye na JPM ni kitu kimoja, kwa tafsiri yangu, wote wanatenda kwa mujibu wa mfumo uliopo.
 
Back
Top Bottom