Kibao kilivyogeuka

Kibao kilivyogeuka

Bado ni mapema sana kumhukumu

tuwe na subira

Twende na Mama Samia mpaka 2030
 
Being a President is tantamount to being a dustbin

It is not easy to maintain a clean file.

Samia should only do what she thinks is right and not what others thinks is right neither trying to impress anyone.

[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Kuna watu wanajitahidi sana kumtetea!

Mara wadai anashauriwa vibaya.

Mara waseme anahujumiwa na Sukuma Gang.

Yeye ndo Rais. The buck stops with her.

Excuses are the tools of the weak and incompetent. They build bridges to nowhere and tunnels to nothingness... Those who excel in them seldom do in anything else, therefore, there are no excuses.

[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Inawezekana nchi ya Tanzania ni ngumu sana kuiongoza. Na hii inatokana na sera ya ujamaa ambayo ilitumika mpaka miaka ya 90.

Sasa hizi element za ujamaa ndio zinaleta shida ndani ya nchi.

Mabadiliko hayazuiliki, bali yanacheleweshwa. Kizazi cha ujamaa kikiisha ndo kutakuwa na mabadiliko ya kweli Tanzania.
Mkuu huenda upo sahihi, tukifany hesabu kizazi Cha ujamaa kip?? Kizazi chote kilichozaliwa miaka 1970-1980. Then baada ya hapo ndp tutakuwa na kizaz kipya,

Sasa hicho kizaz ndo kinaongoza maan kinabtn miaka 40+ Sasa ukisema mpka kiondoke means mpka mwaka 2035 kwa maana hawa wenye miaka 40 watakuwa wamepungua ama hawana uwezo wa kuongoza, so far tinamia zaidi ya 15 kuwa na subra....
 
Gaidi Mbowe yupo chini ya ulinzi salama wa Polisi, nchi nzima imetulia hakuna matukio ya ajabu ajabu kama Uamsho walivyowekwa sehemu salama na Zenji ikatulia.
NDEZI wa LUMUMBA katika uzwazwa wako
 
Being a President is tantamount to being a dustbin

It is not easy to maintain a clean file.

Samia should only do what she thinks is right and not what others thinks is right neither trying to impress anyone.
Ever seen a self operation remote? Only robots are automated.
 
Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.

Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.

Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.

Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].

Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!

Hizo ndo standards za baadhi ya Watanzania 🤣.

No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.
Kwani unajisikiaje kumwita Rais wako dikteta wakati siyo kweli...unajisikiaje raha since ndiyo?
 
Inaonekana unaakili kidogo hasa kwenye nyekundu. Baada ya hapo dishi limeyumba, nenda hospitali.

Kusema madhaifu ya CDM, siyo kwamba sioni madhaifu ya CCM
Unaona ulivyo kubwa la wapumbavu? Wawezaje kuipima akili iliyokuzidi ilihali Yako ni kiduchu? Hebu mfanye haraka kurudi mirembe mlikotoroka Tiba mkidhani humu jf tunatibu wagonjwa wa akili!
Upumbavu wako unaanzia hapa:-
Kama kweli unaujua na kuona uchafu wa ccm unayoiabudu, kimekuzuia Nini kuanza kuusafisha kabla ya kuj kuibwekea cdm? Busara huanzia pale ulipo na ikipea huvuka mipaka! Unaona busara Gani kuusema uchafu wa jirani huku kwako kunanuka uvundo? Kajifunze Tena kuujenga hoja ndio uje!
 
wewe ni mpuuzi siwezi kujadiliana na mtu kama wewe
 
ni mpuuzi siwezi kujadiliana na mtu kama wewe
Tena ukiona Uzi wangu uukimbie Kwa Kasi maana huna uwezo wa kuhoji nilichoandika kwani wewe ni incompetent with low thinking capacity!
 
Back
Top Bottom