Kibao kipya cha linah, "Kosa sina", ni balaaa

Kibao kipya cha linah, "Kosa sina", ni balaaa

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Hivi mmesikia huu wimbo mpya wa linah unaitwa kosa sina? Aiseeh ni shigidaa, linah Ana sauti mubashara, dah ile Sauti sio ya nchi hii hakyamungu, mtoto anaweza mpaka anaboa, hongera sana linah, now unarudi kwenye level zako za fitina na oletemba.
 
Leta rink ya kuudownload hapa sio bwebwe tu acha maneno weka
 
Sijawahi muelewa huyu demu tangu alipo zinguana na THT mwenzie...

Inshort hajimudu mwenyewe.., hana swagaa

We ni mfungua mageti wa THT? maana povu linakutoka Lina kuondoka pale kama ukaaji wake pale ulikuwa na faida kwako
 
Kunawatu nkisikia wametoa nyimbo mpya Hata sifuatiliagi najua2 ctaipenda
 
mlikua central nini...wimbo wa kitambo huo...hauna upya..
 
Hivi mmesikia huu wimbo mpya wa linah unaitwa kosa sina? Aiseeh ni shigidaa, linah Ana sauti mubashara, dah ile Sauti sio ya nchi hii hakyamungu, mtoto anaweza mpaka anaboa, hongera sana linah, now unarudi kwenye level zako za fitina na oletemba.
Unaposema sio ya nchi hii unamanisha nn
 
Back
Top Bottom