Dont
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 233
- 198
Sio rink ni linkLeta rink ya kuudownload hapa sio bwebwe tu acha maneno weka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio rink ni linkLeta rink ya kuudownload hapa sio bwebwe tu acha maneno weka
weka audio au video basiHivi mmesikia huu wimbo mpya wa linah unaitwa kosa sina? Aiseeh ni shigidaa, linah Ana sauti mubashara, dah ile Sauti sio ya nchi hii hakyamungu, mtoto anaweza mpaka anaboa, hongera sana linah, now unarudi kwenye level zako za fitina na oletemba.
Mond umekuwa mweupe now, umekunywa maji sana hongeraKelele tu hakuna wimbo hapo kwan ww u nasikia je
Hahaaa ndio bwana kaka ray kanisaidiaMond umekuwa mweupe now, umekunywa maji sana hongera
Hahaaaa rinkrink? Duh.
AaahHahaaa ndio bwana kaka ray kanisaidia
Candy ka influence pia kasema hatak mtu mweusi so nimeenda kupiga picha nyingineAaah
Kibaba hiyo inaitwa
Inspired by ray [emoji1].
Au candy ana influence yake hapo
Cc CandyscorpionCandy ka influence pia kasema hatak mtu mweusi so nimeenda kupiga picha nyingine
Kama kawaida yako
Nzuri sana