A
Anonymous
Guest
Kero yangu ni ajali za mara kwa mara zinazotokea eneo la Kibaoni Ngaramtoni Bypass, sehemu hii imegeuka machinjioni dhidi ya wananchi, watembea kwa miguu, wanafunzi kutokana na wembamba wa barabara ya kuelekea Namanga.
Serikali ipanue barabara hii ya Namanga Road pale Kibaoni, pia bumps zilizowekwa kwenye kona karibu na pale Kibaoni ziondolewe, waliojenga sheli na kubana eneo la barabara wasogezwe, wapishe upanuzi wa barabara ili kuondokana na ajali za mara kwa mara pale eneo la Ngaramtoni Kibaoni zinazogharimu maisha ya watu Kila siku.
Kuna kipindi fulani umepita miaka miwili, hapo Kibaoni Ngaramtoni zaidi ya watu 30 walifariki waliokuwa kwenye gari dogo Hiace wakitokea Ngaramtoni, dhidi ya caterpillar, wanafunzi, bodaboda na watembea kwa Miguu kwa eneo hilo kifo ni nje nje.
30/10/2026 wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mringa watatu wamefariki kwa ajali katika eneo hilo hilo, kutokana na eneo hilo kubana, kuwepo kwa kona karibu na njia ya kwenda Mringa Secondary na bumps/kizuiizi katikati ya kona, mamlaka husika ipanue hii Barabara kuondokana na hizi ajali za mara kwa mara, uzembe wa mamlaka kupanua barabara.