Kibarua cha Robertinho kipo hatarini

Wachezaji wamesajiliwa na Mo na sio kocha kwahiyo mashabiki wa Simba msitegemee mafanikio
 
HELA YA SUPER CUP.
BILIONI 5
NDIO INASAJILI.

MO HAJATOA HATA MIA.
ANAWADANGANUA WAJINGA.
 
Huu Uzi wa Mbumbumbu fc mbona najitahidi kuusoma na comments zake ila sielewi wanachoongea hapa Makolo!

Sijaona zikitajwa Mashine kama Skudu Wala Aziz Ki hivyo huu Uzi ni batili!
 
Sio usajiri, sema usajili.
 
Kocha husajili kutokana na falsafa yake ya soka!! Mchezaji anaweza kuwa mzuri kwa watazamaji lakini akawa haendani na falsafa ya kocha!! Inabidi kocha apewe nafasi ya kupendekeza wachezaji anaowataka ili AWAJIBIKE VIZURI NA MATOKEO ATAKAYOYAPATA. Ukimchagulia wachezaji kochja hatawajibika na matokeo ya uwanjani, bali viongozi ndio watakaowajibika na matokeo hayo!!
 
Kocha peke yake hawezi kusajili wachezaji wotewote. Kuna wachezaji wengine wanasajiliwa na "technical bench", wengine na viongozi.
 
Kocha akisajili halafu akahama baada ya mwezi mmoja, hao wachezaji aliowasajili watacheza falsafa ya nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…