Kibarua tafadhali!

Hkeen

Member
Joined
Aug 17, 2011
Posts
95
Reaction score
4
Mimi ni kijana niliyemaliza kidato cha sita(feb 2012) kwa mchepuo wa HGK, shule ya sekondari Galanos, mjini Tanga. Mahali nnapoishi kwa sasa ni Moshi mjini. Lengo la kushughulisha vidole na akili kwenye baobonya kwenye safu hii ni juu ya kiu ya kutaka kupata kazi ya hali yoyote kwa makubaliano. Hakika kazi ni muhimili wa maisha hasa kwa mimi kijana, Natumia nafasi hii kwa yeyote mwenye uweza au nafasi ya kunipatia kazi/kibarua ili ni kusogeza maisha na changamoto zake! UFANISI, JUHUDI NA NIDHAMU NI MUHIMILI YA MAENDELEO! Kwa ujuzi wa ziada nina ujuzi wa kiasi wa teknohama ya kompyuta na badhii ya 'programs' zake.
 
mkonge?pamba?chai?
kazi gani ambayo unafikiri unaweza kuifanya na msharara kiasi gani ambacho unafikiri utakutosheleza?
 
mkonge?pamba?chai?
kazi gani ambayo unafikiri unaweza kuifanya na msharara kiasi gani ambacho unafikiri utakutosheleza?

vipi wa kwetu! Mimi ni wa pamba la wasafi. Em! Kuhusu ujira kuanzia TSh 200,000/= kwa mwezi na kuendelea kulingana na ugumu wa kazi. IN GOD WE TRUST.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…