Kibatala and Team, Mwenyezi Mungu anawasimamia -- msikate tamaa kamwe!

Hakuna case pale mkuu, ni utopolo tu na mama anajiharibia sana kwenye utawala wake kupitia hii case.

Chakushukuru ni kwamba wananchi wamejua ubovu wa utendaji polisi usiofuta utaratibu wala weredi. Tusishangae wananchi wakianza kutolitii wala kuheshimu jeshi la polisi kwa kujichukulia hatua kadri wajisikiavyo
 
Vipi Wadau leteeni kinachoendelea Mahakamani basi. Tuone wanavyojikanyaga tena
 
Kwa mahakama hizi zinazotaka kuifurahisha serikali usishangae wakitoa hukumu ambayo tayari rais na genge lake wanataka.
 
Ukweli daima hushinda uongo. Mbowe siyo gaidi.
 
KIBATALA NI KIBARAKA WA LISSU ANAMMALIZA MBOWE KAMA HAMJUI ANACHELEWESHA KESI KWA MAPINGAMIZI AMBAYO HAYANA KICHWA WALA MIGUU AMBAYO YOT ANASHINDWA
 
Kwa mahakama hizi zinazotaka kuifurahisha serikali usishangae wakitoa hukumu ambayo tayari rais na genge lake wanataka.
Wakifanya hivyo itakuwa ni wafuasi wa JPM hawampendi Mama Samia wanataka Mama achukiwe na apate upinzani mkali sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…