Kibatala and Team, Mwenyezi Mungu anawasimamia -- msikate tamaa kamwe!

Katika dhulma yote yanawezekana kiongozi. Ponsio Pilato(yule aliyeinajisi idara ya mahakama) alimuhukumu Yesu kifo bila hata kuliona kosa lililostahili adhabu hiyo. Kuna wakati elimu ya sheria yaweza kuwa inasimamia batili dhidi ya haki!
 
Hakika!
 
Muda sio mrefu kuna shahidi wa kingai atazimia na kujinyea mahakamani
 
Kwa taarifa yako pingamizi likipigwa chini maana yake halina maana tena kwenye kesi husika. Lakini kwa kuwa akili zako zinakutuma kufikiri hivyo please go ahead!
 
Kumbe!!! Ulijifunza wapi wewe? Umejaa visirani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…