Tetesi: Kibatala kujitoa kusimamia kesi zihusuzo CHADEMA

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Wakili msomi maarufu Nchini Tanzania na ambaye mara zote hujizolea sifa kemkem kwa uhodari wake asimamiapo kesi za Wana-CHADEMA na hususani Viongozi wake inaelezwa ame-wataarifu watu wa karibu yake kukatishwa tamaa/kusononeshwa na atendewayo Lissu ikiwamo kutwezwa.

"....Kibatala anafikiria kuachana na utetezi wa mashtaka yeyote yajayo yatakayo kihusisha Chadema kwa kumuunga mkono Tundu." Chanzo.
 
Wakili msomi maarufu Nchini Tanzania na ambaye mara zote hujizolea sifa kemkem kwa uhodari wake asimamiapo kesi za Wana-Chadema hususani Viongozi wake inaelezwa ame-wataarifu watu wa karibu yake kukatishwa tamaa/kusononeshwa na atendewayo Lissu ikiwamo kutwezwa.

"....Kibatala anafikiria kuachana na utetezi wa mashtaka yeyote yajayo yatakayo kihusisha Chadema kwa kumuunga mkono Tundu." Chanzo.
Kesi za chadema,CCM itazimaliza!
Kibarua kimeota nyasi brother
 
Wakili msomi maarufu Nchini Tanzania na ambaye mara zote hujizolea sifa kemkem kwa uhodari wake asimamiapo kesi za Wana-CHADEMA na hususani Viongozi wake inaelezwa ame-wataarifu watu wa karibu yake kukatishwa tamaa/kusononeshwa na atendewayo Lissu ikiwamo kutwezwa.

"....Kibatala anafikiria kuachana na utetezi wa mashtaka yeyote yajayo yatakayo kihusisha Chadema kwa kumuunga mkono Tundu." Chanzo.
Anamuunga mkono Lissu kwa kukikatia chama ambacho Lissu anataka kukiongoza? Kama ana hasira na Mbowe si asisimamie kesi zote zinazomhusu yeye na wapambe wake!
Kama unayosema ni kweli basi weledi wake unatia mashaka, kitu ambacho ni vigumu kuamini.

Amandla...
 
Kibatala sio mjinga hivyo..

Na hata akiamua kukengeuka... Hiyo ni sehem ya siasa...

Open to everyone
 
Wakili msomi maarufu Nchini Tanzania na ambaye mara zote hujizolea sifa kemkem kwa uhodari wake asimamiapo kesi za Wana-CHADEMA na hususani Viongozi wake inaelezwa ame-wataarifu watu wa karibu yake kukatishwa tamaa/kusononeshwa na atendewayo Lissu ikiwamo kutwezwa.

"....Kibatala anafikiria kuachana na utetezi wa mashtaka yeyote yajayo yatakayo kihusisha Chadema kwa kumuunga mkono Tundu." Chanzo.
Hivi kwa akili yako unafikiri hiyo kazi huwa anawafanyia bure? Kwa taarifa yako ni kwamba huwa anawatandika kweli kweli. Huwaombea wawe na kesi kedekede. Kwa mwaka hakosi bilioni moja kutokana na kesi za chadema.
 
Hawa watu usisumbuke kuwajibu kwa details ... Wapo kwenye confused mode.
 
Wakili msomi maarufu Nchini Tanzania na ambaye mara zote hujizolea sifa kemkem kwa uhodari wake asimamiapo kesi za Wana-CHADEMA na hususani Viongozi wake inaelezwa ame-wataarifu watu wa karibu yake kukatishwa tamaa/kusononeshwa na atendewayo Lissu ikiwamo kutwezwa.

"....Kibatala anafikiria kuachana na utetezi wa mashtaka yeyote yajayo yatakayo kihusisha Chadema kwa kumuunga mkono Tundu." Chanzo.
Hivi matusi ya team Lissu kwa Mbowe... kashfa nzito anazotoa Lissu dhidi ya wenzie mlitegemea wao wanyamaze?

Kuna kiongozi wa CDM kaoga matusi kama Mbowe??

Halafu kibatala ni nani by the way!! Kwamba kwa hicho kidigrii chake uchwara cha Mzumbe amtishie nani?

Waende wanakoenda shabash
 
Kwani yeye ndiye wakili pekee hapa Nchini? Kwani asipokuwepo yeye hapa Duniani kwamba CHADEMA itaacha kuwawekea mawakili wanachama na viongozi wake? Kwamba yeye hana mbadala?

Huyo lissu anajitweza Mwenyewe kwa tabia zake
 
Wakili msomi maarufu Nchini Tanzania na ambaye mara zote hujizolea sifa kemkem kwa uhodari wake asimamiapo kesi za Wana-CHADEMA na hususani Viongozi wake inaelezwa ame-wataarifu watu wa karibu yake kukatishwa tamaa/kusononeshwa na atendewayo Lissu ikiwamo kutwezwa.

"....Kibatala anafikiria kuachana na utetezi wa mashtaka yeyote yajayo yatakayo kihusisha Chadema kwa kumuunga mkono Tundu." Chanzo.
Stataaa Badoo picha kamili

Cciciemu tukae mkaoo WA kulaa sema tuishii naoo kwa ajili maana wengine wanakuja wakiaubiria vyeo wakiona pakavu wananza kelele
 
Hivi matusi ya team Lissu kwa Mbowe... kashfa nzito anazotoa Lissu dhidi ya wenzie mlitegemea wao wanyamaze?

Kuna kiongozi wa CDM kaoga matusi kama Mbowe??

Halafu kibatala ni nani by the way!! Kwamba kwa hicho kidigrii chake uchwara cha Mzumbe amtishie nani?

Waende wanakoenda shabash
Naona mlamba viatu unatapika shombo bila kujua athari za Kibatala kuikimbia saccos.
 
Back
Top Bottom